Call Now+255(028)2540305

Send Messageinfo@coyeta.ac.tz

Our LocationMlango Mmoja Area, Mwanza, Tanzania

Announcements Panel

COLLEGE OF YOUTH EDUCATION IN TANZANIA BROACH

KOZI ZITOLEWAZO NGAZI YA DIPLOMA (NTA LEVEL 6) KOZI ZITOLEWAZO NGAZI YA CERTIFICATE (NTA LEVEL 4) (KWA MIAKA MIWILI (2) )  Ordinary Diploma in Accountancy (UHASIBU)  Ordinary Diploma in Business Administration (Utawala katika Biashara)  Ordinary Diploma in Procurement and Supply (Ununuzi na Ugavi) (KWA MWAKA MMOJA (1) )  Certificate in Accountancy (UHASIBU)  Certificate in Business Administration (Utawala katika Biashara)  Certificate in Procurement and Supply (Ununuzi na Ugavi) SIFA ZA KUJIUNGA NA DIPLOMA  Awe amehitimu kidato cha sita na kupata an-galau Principal pass moja (1) (A, B, C, D au E) Katika masomo manne ya kidato cha sita (6).  Awe na cheti (NTA Level 4) kutoka chuo kinachotambuliwa na NACTE. (Baada ya kuhitimu Diploma Mwanafunzi atajiunga na vyuo vikuu ndani na nje ya Tanzania SIFA ZA KUJIUNGA NA CERTIFICATE  Awe amehitimu kidato cha nne na kupata angalau Pass (A, B, C, D au E) Nne (4) (UFAULU HATA WA “D” NNE (4))  Kwa kozi ya Accountancy na Business admin-istration lazima uwe na walau “D” ya Hesabu Chuo Kimesajiliwa na Serikali chini ya mamlaka ya NACTE kwa Registration No. BTP/007 KOZI ZITOLEWAZO CHINI YA VETA KWA USAJILI VET/MZA/PR/2012/055 (KWA MWAKA MMOJA (1) )  Hotel Management  Tourism Management  Airline Management  Secretarial Courses  Computer Application  Computer Maintenance  NABE (masomo ya Uhasibu /Mitihani yake)  Laboratory Assistance SIFA ZA KUJIUNGA NA KOZI ZA VETA  Awe amehitimu kidato cha nne  Awe anajua kusoma na kuandika Vizuri  Laboratory Assistance ni lazima uwe umefualu walau “D” mbili za masomo ya sayansi. KOZI ZITOLEWAZO CHINI YA TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA KWA USAJILI No. : IAE/05/0152  STAGE ONE(1) QT; yaani kidato cha Kwanza na cha Pili kwa mwaka Mmoja  STAGE TWO(2) QT; yaani kidato cha Tatu na cha Nne kwa mwaka Mmoja  STAGE THREE(3) QT; yaani kidato cha Tano na cha Sita kwa mwaka Mmoja  ENGLISH COURSE; Kwa hatua ya kwanza mpaka ya Tatu. (Kuandika, Kusoma na Kuongea kwa Kingereza.)  KIFARANSA: Kwa hatua ya kwanza mpaka ya tatu. (kuandika, kusoma na kuongea kwa Kifa-ransa.) (Tuna Maabara ya Sayansi Kwa Masomo ya Biology, Physics na Chemistry) KOZI ZITOLEWAZO CHINI YA BALAZA LA SANAA LA TAIFA (BASATA) KWA USAJILI No.: BST/5109  GRADE I  GRADE II  GRADE III  GRADE IV Utahitajika kupiga vyombo vya mziki kama vile, Keyboard, Gitaa ya Solo, ya Rizim na Besi, Drums na vyombo vingine vingi. Pia utajifunza namna ya kuunganisha vyombo vya mziki. (UTAJIFUNZA KUPIGA VYOMBO NA KUIMBA) SIFA ZA CHUO KWA UJUMLA  Kina jengo lake la Ghorofa tatu  Kiko katikati ya jiji la Mwanza  Kinafikika kwa wepesi kwa barabara kuu zote za jiji la mwanza  Kina hostel kwa wanafunzi wa jinsia zote.  Kina madarasa na walimu wakutosha  Ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu awamu  Tuna kumbi mbili kubwa kwa matukio yote ya kijamii na kitaaluma