Call Now+255(028)2540305

Send Messageinfo@coyeta.ac.tz

Our LocationMlango Mmoja Area, Mwanza, Tanzania

News Panel

MHULA MPYA WA MASOMO YA CHUO CHA MWANZA YOUTH CENT

MWANZA YOUTH CENTRE (MY) Chuo kimesajiliwa na: 1. VETA kwa usajili namba VET/MZA/PR/2012/055 2. Taasisi ya elimu ya watu wazima /AE/05/0152 3. Balaza la sanaa la taifa (BASATA) Tunawatangazia nafasi za masomo kwa mhula mpya wa masomo 2019 katika kozi zifuatazo: i. Resiters (wanaorudiwa kidado cha nne) ii. QT (Elimu ya sekondari kwa miaka miwili, kidato cha kwanza na cha pili kwa mwaka mmoja,kidato cha 3 & 4 kwa mwaka mmoja Pia ni kituo cha mtihani wa Taifa kwa watahiniwa wa kujitegemea (Private Candidate) iii. Hotel Management, Tourism Management na Airline Management iv. Secretarial Course, Computer Application na Computer Maintenance v. Kozi ya mziki (Music Coarse) Pia chuo kinatoa masomo ya pre- form five kwa michepuo ya sayansi na sanaa: NB: chuo kinayo mazingira safi na salama ya kujisomea ikiwemo maabara ya kisasa ya sayansi pamoja na maabara ya Computer. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0753188061 0786115357 0742367997 Email: mwanza youth centre @yahoo .com