Call Now+255(028)2540305

Send Messageinfo@coyeta.ac.tz

Our LocationMlango Mmoja Area, Mwanza, Tanzania

News Panel

MHULA MPYA WA MASOMO KWA KOZI ZA ASTASHAHADA NA ST

COLLEGE OF YOUTH EDUCATION IN TANZANIA (CoyeTa) kinawatangazia nafasi za masomo kwa mhula mpya wa mwezi wa tisa 2019 kwa kozi zifuatazo: Accountancy (uhasibu). Procurement and supply (ununuzi na ugavi) Business administration (utawala wa biashara) SIFA ZA KUJIUNGA ASTASHAHADA: Mwanafunzi awe amemaliza kidato cha nne na awe na ufaulu wa kuanzia D nne. STASHAHADA:Mwanafunzi awe amemaliza astashahada katika chuo kinachotambuliwa na serikali au awe amemaliza kidato cha sita na kupata ufaulu wa pass (D) moja pamoja na subsidiary (S) mbili. Mbali na hizo kozi pia chuo kinatoa mafunzo ya ujasiliamali kwa vitendo ili kumuwezesha mwanafunzi kuwa mbunifu na mwenye akili ya kujitegemea (Self independent mind). Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 21 mwezi wa sita. KARIBUNI TUWAHUDUMIE!