Call Now+255(028)2540305

Send Messageinfo@coyeta.ac.tz

Our LocationMlango Mmoja Area, Mwanza, Tanzania

News Panel

MHULA MPYA WA MASOMO KWA KOZI YA UTALII, HOTELI NA USAFIRI WA ANGA)

Chuo cha Coyeta/MYC kinapenda kuwatangazia Kozi ya Utalii Hoteli na Usafiri wa Anga mhula mpya wa masomo 2020 mwenzi wa kumi mwaka huu tumeshaanza kupokea wanafunzi tarehe 01/09/2020 na tunaendelea kusajili mpka sasa. Masomo yataanza rasmi tarehe 01/10/2020 dirisha la usajili lipo wazi jisajili leo.