Call Now+255(028)2540305

Send Messageinfo@coyeta.ac.tz

Our LocationMlango Mmoja Area, Mwanza, Tanzania

News Panel

MHULA MPYA WA MASOMO YA CHUO CHA MWANZA YOUTH CENTRE

MWANZA YOUTH CENTRE (MY) Chuo kimesajiliwa na: 1. VETA kwa usajili namba VET/MZA/PR/2012/055 2. Taasisi ya elimu ya watu wazima /AE/05/0152 3. Balaza la sanaa la taifa (BASATA) Tunawatangazia nafasi za masomo kwa mhula mpya wa masomo 2020 katika kozi zifuatazo: .i) Hotel Management, Tourism Management na Airline Management. ii) Secretarial Course, Computer Application na Computer Maintenance iii). Kozi ya mziki (Music Coarse) NB: chuo kinayo mazingira safi na salama ya kujisomea ikiwemo maabara ya kisasa ya sayansi pamoja na maabara ya Computer. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0753188061 0786115357 0742367997 Email: mwanza youth centre @yahoo .com