Call Now+255(028)2540305

Send Messageinfo@coyeta.ac.tz

Our LocationMlango Mmoja Area, Mwanza, Tanzania

News Panel

MHULA MPYA WA MASOMO KWA KOZI YA UHASIBU , UNUNUZI NA UGAVI NA BIASHARA )

Chuo cha Coyeta kupitia mamlaka ya NACTE inatangaza nafasi za masomo kwa ngazi ya Cheti na Diploma katika masomo ya Uhasibu, Ugavi na Biashara usajili upo wazi mpaka tahehe 15 /09/2020 na masomo yanaanza rasmi mwezi November 23/2020 tafadhali wahi kwa usajili mapema kabla ya tarehe kufungwa. Dirisha la usajili lipo wazi jisajili leo.