Call Now+255(028)2540305

Send Messageinfo@coyeta.ac.tz

Our LocationMlango Mmoja Area, Mwanza, Tanzania

News Panel

MHULA MPYA WA MASOMO KWA KOZI YA UHASIBU , UNUNUZI NA UGAVI NA BIASHARA )

Chuo cha Coyeta kupitia mamlaka ya NACTE inatangaza nafasi za masomo kwa ngazi ya Cheti na Diploma katika masomo ya Uhasibu, Ugavi na Biashara usajili upo wazi mpaka tahehe 15 /02/2021 na masomo yanaanza rasmi mwezi March 10/2021 tafadhali wahi kwa usajili mapema kabla ya tarehe kufungwa. Dirisha la usajili lipo wazi jisajili leo.