Call Now+255(028)2540305

Send Messageinfo@coyeta.ac.tz

Our LocationMlango Mmoja Area, Mwanza, Tanzania

News Panel

MHULA MPYA WA MASOMO KWA KOZI YA UTALII, HOTELI NA USAFIRI WA ANGA)

Chuo cha Coyeta/MYC kinapenda kuwatangazia Kozi ya Utalii Hoteli na Usafiri wa Anga mhula mpya wa masomo 2022 mwenzi wa kwanza mwaka huu tumeshaanza kupokea wanafunzi tarehe 05/01/2022 na tunaendelea kusajili mpka sasa. Masomo yameanza rasmi dirisha la usajili lipo wazi jisajili leo.